JINSI YA KUJILINDA NA LINK PISHING ZA FACEBOOK

HIVI UMESHAWAHI KUKUTANA NA ACCOUNT YA MTU FACEBOOK KUNA POST YENYE PICHA ZA PORN CONTENT! NA BILA YEYE KUJUA ? Hizo ni Phishing Links ambazo zinakuwa Designed na ni Special kupora/Grab Personal Details za Account iliyokusudiwa only kwa kutumia Link tu Mara Mlengwa atakapo Gusa Link yenye Phishing ndani Yake. Siku zote Phishing Links huwaga ni zile links za Kuvutia na Kumtamanisha Mlengwa aiguse ili Aweze kukipata alicho Waza angekiona Baada kugusa Link...Especially wanatumia Picha za Wanawake Wazuri Walio Naked ili Kuwavutia Vijana Wa Hovyo Waweze Kunasa Kwenye Mtego alio Upanga.
Sasa Hutegemea target ya Link yake alitaka Kupata Taarifa gani kutoka Kwako...ila Baadhi zao Huwaga Baada ya Mlengwa Kuzigusa Hizo Links tu! Basi itamuomba Permission moja Kati ya Hizi :- Location,Gallery,Contacts,Username & Password,Camera,Notification access,run in Background...na Nyinginezo nyingi Mara tu Mlengwa (Targeted user) atakapo Grant Permission Moja kati ya Hizo,Automatically bila yeye kujua Hio Post yenye Maudhui ya Porn Content inaweza Kujipost Kwenye Account yake ikionekana kama Amepost yeye Kumbe wala Hana Taarifa... Kuwa Makini nazo Links hizo..ukiwa kama Team WOLF hutakiwi kuwa na Mawenge na hizo Phishing Links kwani una Aibisha Brand. 😏 Je! Unahitaji Kujua Jinsi Kuzitengeneza Hizi Phishing Links(for educational Purposes only) Sio Kwa Kudhuru Wengine!

Post a Comment

Previous Post Next Post