𝗨𝗺𝗲pigwa 𝗯𝗮𝗻𝗻𝗲𝗱 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 ?
Umeshawahi kukutana na changamoto ya kuweza kupiga banned 🚫 kwenye Whatsapp yako !!
Unajikuta unatumia Whatsapp ila ghafla ikajitoa Whatsapp ukitaka ku log in unaambiwa namba yako hiko banned utafanyaje ?
Unajua ukiona umepigwa banned kwenye Whatsapp jua Kuna mambo umeyafanya ambayo yako nje na utaratibu wa sheria zao za Whatsapp kama vile
• kutumia Whatsapp mods zile za Gb , fm ,Aero nk ❌
• bulk message ikitokea ukawa na tabia ya kutuma ujumbe mbalimbali hovyo kwenye Whatsapp pamoja na kutengeneza ma group mengi ❌ kwa wakati mmoja
banned ziko za aina mbili kuna ile ya temporary ambayo wanakupa saa , siku , wiki , mwenzi nk
Kuna ile nyingine ya permanent hii Sasa 😁 sio poa Yani kurudisha kwake kidogo mtihani ila nitawajuza Leo
Ikitokea Sasa umepigwa banned ambayo ni permanent fanya hatua hizi chache 👇👇
Kwanza uninstall app yako ya Whatsapp ✅
• ingia soko la play store kisha install Whatsapp
• weka namba yako ya simu kisha next itatokea ujumbe kuwa " your banned from using Whatsapp"
• bonyeza support option ambayo itatokea kwenye screen hapo
• chagua sababu ambazo za kukubaliwa kuwa ulifanya mistake kwenye kupigwa banned Whatsapp kisha piga next
• chagua option this is does not answer my options kisha itakupeleka direct kwenye kuandika ujumbe kwenye mail na utajaza details zako zote kisha bonyeza send button ✅
Ndani ya masaa 48hrs ya maombi yako yatajibiwa hivyo baada ya hapo utaendelea kutumia Whatsapp kama kawaida.
Ebu tuambie ulikua unafanya nini Whatsapp yako ikipigwa banned 🚫 tuachie maoni yako ?
Solve tatizo lako sasa me njia nilio tumia ni hiyoi wewe je?
ReplyDelete