GRAFIC DESIGN BIGINNER ONLY

GRAFIC DESIGN
JE? unatamani kuwa grafic bora au ujui chochote kuhusu grafic na unataka kuanza kufanya grafic na kuwa bora
1
ILI KWA GRAFIC BORA INAHITAJI KUTOA MDA MWINGI KUJIFUNZA
2
PIA UNATAKIWA KUFATILIA WATU AMBAO WANAFANYA GRAFIC DESIGN NA WAKO VIZURI KWENYE GRAFIC. NA KUJIFANYA UJUI NA KUSIKILIZA KWA MAKIN NA KUFATILIA
KUBARI KUKOSELEWA NA WATU KATIKA KAZI YAKO NA MAANISHA BAADA YA KUTENGENEZA KAZI YAKO NENDA KA SHARE KWA WATU AU PUBLIC UONE MAONI YAO NDIO MWANZO WA KUJIFUNZA NA UKAWA NA IMANI NA KAZI YAKO
JE UNALIJUA HILI? Katika dunia ya graphic designing kuna application mbalimbali ambazo zinatumika,mfano application kama vile adobe photoshop na adobe illustrator, ambapo application hizi zinakuhitaji uwe na ujuzi katika designing ili uweze kuzitumia.
Kulingana na mabadiliko ya teknolojia mambo yamerahisishwa zaidi, siku hizi unaweza ukafanya designing hata kama hauna ujuzi wa kutosha kwani kuna websites na applications ambazo ni rahisi sana kutumia, hapa hauwezi ukaacha kuitaja canva.
Canva imerahisisha sana designing kwani imejaa templates nyingi tu ambazo unaweza ukaziedit wewe mwenyewe unavyotaka, muhimu ujue tu jinsi ya kutumia tools zake ambazo ni rahisi kujua kuzitumia. Usijali, tunakuletea darasa ambalo litaweza kukufunza ni tools gani muhimu za canva ambazo unatakiwa kuzifahamu JIUNGE HAPA KUJIFUNZA SASA BAADA YA KUJIUNGA FATA MAELEKEZO WAKUUU 🤝

Post a Comment

Previous Post Next Post