KUNA NJIA ZA KUFUATA HILI AKUFUTA ACCOUNT NA NJIA SAHIHI KABISA
[1] NJIA YA KWANZA Fungua kivinjari cha wavuti kwenye simu au kompyuta yako
[2] Tembelea ukurasa wa kufuta akaunti ya Instagram kupitia kiungo hiki:
CLICK HERE\
[3] Ingia kwa kutumia jina lako la mtumiaji na nywila, ikiwa haujaingia tayari.
[4] Chagua sababu ya kufuta akaunti kutoka kwenye menyu inayoshuka.
[5] Ingiza nywila yako tena unapoulizwa kuthibitisha
[6] Bonyeza kitufe cha **"Delete [jina la akaunti]"** ili kuthibitisha kufuta.
UNAWEZA FATA MAELEKEZO KWA KTUMIA PICHA APO CHINI
Akaunti yako itafutwa baada ya siku 30. Katika kipindi hiki, ukibadilisha mawazo, unaweza kuingia tena ili kuzuia kufutwa.