jinsi ya ku apload status bila kupungua quality

njia hii kwa watumiaji wa whatsapp official tuh
hii shida inaweza ikawa inakukumba sana na una pata tabu uki apload vitu vyako vina pungua quality
fanya hivi hakikisha umewasha hd quality
sasa baada ya kuwasha sio kwamba utapost na kuona azipungui quality hapana utafanya hivi sasa wakuuu
utajitumia wewe mwenyewe picha au video unayo taka kuweka status au unaweza kumtumia mtuh pale juu uta gusa hile Alama ya HD baada ya hapo uta jitumia ukisha tuma uta forward hile picha yako au video kwa status hapo aito pungua quality hata kidog
asante usisahau kuto follow kwenye channel zetu na ku like na ku comment

Post a Comment

Previous Post Next Post