๐พ Kurekebisha Kompyuta Yako
๐พ Umetumia Computer au PC kwa muda, gafla ika stack, kila kitu haki respond mpaka uzime alafu uwashe tena.
๐พ Basi wewe ukuona hivyo, bonyeza hizo button apo chini ili kureset Graphics driver na kila kitu kitarudi sawa ndani ya dakika moja.
๐ Ctrl + Windows + Shift + B
๐พ Hapo unakuw umeshamaliza kazi, utaona computer yako imezima screen na kuwaka hapo hapo na kila kitu kina respond.
Maelekezo ya Ziada:
1. Hakikisha unatumia funguo hizo kwa usahihi.
2. Ikiwa tatizo linaendelea, jaribu kuanzisha upya kompyuta yako.
3. Ikiwa tatizo bado lipo, fikiria kutafuta msaada wa kitaalamu.
๐ฆ Kwisha ๐ฆ