👾 Kurekebisha Kompyuta Yako
👾 Umetumia Computer au PC kwa muda, gafla ika stack, kila kitu haki respond mpaka uzime alafu uwashe tena.
👾 Basi wewe ukuona hivyo, bonyeza hizo button apo chini ili kureset Graphics driver na kila kitu kitarudi sawa ndani ya dakika moja.
🔎 Ctrl + Windows + Shift + B
👾 Hapo unakuw umeshamaliza kazi, utaona computer yako imezima screen na kuwaka hapo hapo na kila kitu kina respond.
Maelekezo ya Ziada:
1. Hakikisha unatumia funguo hizo kwa usahihi.
2. Ikiwa tatizo linaendelea, jaribu kuanzisha upya kompyuta yako.
3. Ikiwa tatizo bado lipo, fikiria kutafuta msaada wa kitaalamu.
🦠 Kwisha 🦠